-->

Ujumbe wa Diamond na Zari kwa Tiffah

Familia ya Diamond na mpenzi wake Zari The Bosslady Jumapili ya leo wamepata furaha kubwa zaidi ambayo inawafanya wakumbuke miaka miwili iliyopita.

Furaha ambayo wapo nayo familia hiyo kwa sasa ni kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mtoto wao wa kwanza Princess Tiffah ambaye anatimiza maiaka miwili ya kuzaliwa kwake.

Kupitia mtandao wa instagram, wazazi hao wameshindwa kuzuia furaha zao juu ya mtoto wao huyo. Diamond ndio amekuwa wa kwanza kuandika ujumbe wake kwenye mtandao huo, “Happy 2 years mama, Words Can’t express how much i love you my Tee…. ? ??? @princess_tiffah ??? ?.”

Naye Zari hakusita kuonyesha furaha yake kwa kuandika, “It’s princess world…happy birthday my one and only? @princess_tiffah.”

“My Princess….. May God see you through with nothing but the best. May you be blessed from this day forward. Most of all, May you be a Godly child. Without God we are nothing. Happy birthday @princess_tiffah,” amesndika kwenye picha nyingine ya mtot wao huyo aliyoiweka kwenye mtandao huo.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364