-->

VIDEO: Fid Q Afungukia Ishu ya Irene Uwoya Kupenda Wanaume Wenye Sura Ngumu

Baada ya malkia wa filamu nchini Irene Uwoya kutoa kauli yake ya kuwa anapenda wanaume wagumu na kumtolea mfano Fid Q, rapper huyo amefunguka na kuzungumzia kauli ya muigizaji huyo.

Akiongea na Bongo5 wiki hii, Fid Q amedai yeye siyo mwanaume mzuri lakini ana good look.

“Mimi wakiitwa wanaume wabaya siwezi kwenda lakini pia wakiitwa mahandsome boy siwezi kwenda, lakini najijua mimi ni good look,” alisema Fid Q.

Pia rapper huyo amempongeza muigizaji huyo kwa jicho lake la kumuona na kumtolea mfano.

BONGO5

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364