-->

Video: Mtoto wa Shilole Akionyesha Uwezo Mkubwa wa Kuimba

Mtoto wa msanii wa bongo movies na bongo fleva,  Shilole anaeitwa Rahma aonyesha
uwezo mkubwa wa kuimba kitendo ambacho kimemshagaza hadi shilole
mwenyewe.
Mtoto huyo, Rahma alionesha uwezo huo kwenye kipindi cha leo tena cha cloudsfm hivi majuzi.
shilole222

Shilole na mtoto wake, Rahma

“Sikuwahi kujua kama mwanangu anajua kuimba leo kanisuprise”-Shilole alemadika kwenye ukurasa wake mtandaoni.

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364