VIDEO: Nimeanza Kusumbuliwa na Mabinti – Harmorapa
Rapa anayechipukia kwenye muziki wa hip hop, Harmorapa amefunguka na kusema toka amepata jina amekuwa akipata usumbufu sana kutoka kwa watu wake wa kawaida pamoja na mabinti.
Akiongea na EATV Harmorapa ameweka wazi kuwa sasa hivi amekuwa akipata usumbufu mkubwa kutoka kwa mabinti mbalimbali.
eatv.tv