-->

VIDEO : Sitafuti Kiki kwa Alikiba – AT

Msanii wa muziki miondoko ya mduara nchini, AT amefunguka kwa kuwachana wasanii wa Tanzania kwa kudai wengi wao ni waongo, hawapendi kusema ukweli juu ya mambo yao yanayowasibu.

AT ameeleza kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya kuonekana kama anatafuta kiki ya wimbo wake mpya uitwao ‘Melody’ kwa kuzungumzia ugomvi wa kipindi kirefu baina ya msanii Alikiba na Diamond Platnumz

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364