-->

VIDEO:Ray C Amtaja Mpenzi Wake wa Kwanza

Msanii wa muziki wa bongo fleva Ray C amefunguka na kusema katika maisha yake alianza mahusiano ya mapenzi akiwa na umri wa miaka 16 na kusema alikuja kuachana na mtu wake wa kwanza kutokana na mambo ya ujana.

Mbali na hilo Ray C alizungumzia juu ya ujio wake mpya na kusema wiki ijayo atafanya video ya wimbo wake mpya ambao anategemea kuachia mwezi wa tatu au wanne.

Itazame video hii Ray C akizungumzia mambo megine mengii juu ya muziki wake na maisha yake ya kawaida

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364