Wolper Ampiga Chini Harmonize Kupitia Instagram
Staa wa Bongo Movie,Jacqueline Wolper amefunguka rasmi kumbwaga Harmonize kupitia mtandao wa Instagram. Hata hivyo posthiyo haikuweza kukaa kwa muda mrefu – imefutwa, japo wapo waliowahi kuinasa mapema.
Kwenye post hiyo iliyokuwa na picha ya Harmonize pamoja na emoji za alama ya kopa iliyopasuka, Wolper ameandika: Nina akili timamu me syo mtoto mdogo, endelea na maisha yako it over waambie rasmi usifiche @harmonize_tz i hate love.”