-->

Wolper: Saida Karoli Apewe Heshima Yake

DAR ES SALAAM: Kinara wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ameweka wazi ya moyoni kuwa, mkali wa Muziki wa Asili, Saida Karoli anastahili kupewa heshima kutokana na namna alivyoutangaza Muziki wa Asili.

Saida Karoli

Akichonga na 3 Tamu, Wolper alifunguka kuwa, Saida ni bonge moja la mwanamuziki anayemkubali zaidi kutokana na uwezo wake ndiyo maana ameposti clip akiimba wimbo wake mpya wa Orugambo (Maneno).

“Saida anastahili heshima kubwa kwa Muziki wa Asili anaoufanya, kwa kweli namuunga mkono sana,” alisema Wolper.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364