-->

Zamaradi Kumpa ‘Scene’ Mama Diamond

DIAMOND21

Kufuatia uwezo mkubwa aliouonyesha Mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum, Sanura Kasim kwenye kipande cha video ya wimbo mpya wa diamond , utanimpenda ambapo mama huyo ameigiza kwa kuuvaa uhusika wa mama mwenye maisha magumu ambaye anatafuta msaada akiwa na mtoto mgongoni kitu ambacho kimeshika hisia za watazamaji wengi na wengi kumuona kama ni mama mwenye uwezo mkubwa wakuigiza, mmoja wapo ni mtangazaji na muuandaaji wa filamu hapa Bongo, Zamaradi Mtetema ambaye amekiona kipaji cha mama huyu na kuahidi kumtafuta ili wafanye kazi.

MAMA DIAMOND55
“Mama kumbe kipaji cha kuigiza kipo hahaha i just love your part aise.. Nina movie yangu ntakufata tuongee vizuri kwakweli ?.. anyways i love the song na the way mmecheza na real life ndani..”-Zamaradi aliandika hayo kwenye ukursa wake mtandaoni mara tu baada ya kuiona video ya wimbo huo nakuweka picha ya kwenye kipande cha video hiyo ikimuonyesha mama Diamond akiwa anafokewa na Mkubwa Fella.

MAMA DIAMOND342

Karibu sana mama kwenye tasnia

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364