-->

Dokii Afungukia Kurudi Kuigiza Vichekesho (VIDEO)

Mwimbaji na msanii mkongwe wa maigizo Tanzania Dokii ameamua kurudi kwenye uigizaji kwa namna ya pekee baada ya kugeukia vichekesho ambapo mara hii ameungana na Timamu na mchekeshaji Mpoki.

Kwenye EXCLUSIVE Interview na Ayo TV Dokii amekiri kuwa kimya kwa muda mrefu akifanya biashara tofauti ya muziki na uigizaji lakini sasa ameamua kurejea akigeukia vichekesho.

Millardayo.com

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364