-->

Siku Ya Leo Jinsi Ilivyokumbukwa na Wastara

Kwa upande wa muigizaji Wastara Juma yeye amesema huwa anaitumia siku ya leo kwa kuangalia picha za aliyekuwa mume wake Sajuki Kilowoko amabaye alifariki  January 2, katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Katika ukurasa wake wa Instagram Wastara ameandika “Naweza nikawa nakosea sana lakini sina jinsi ni mapenzi ya dhati ndio yananituma kufanya hivi siwezi kuuzuia moyo Ulipokuja kwenye maisha yangu kuna maisha mapya nimeishi na wewe na umeniacha,” 

 

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Hi there!

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364