VideoMpya: Ina Dakika 4 “Delailah” ya Q Chief karibu uitazame
Mkongwe wa Bongofleva ametuletea Video Mpya inayokwenda kwa jina la ‘Delailah’, Director wa Video ni Kilonzo. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama.
Baada ya kumaliza kuitazama usisahau kuweka Comment yako ili Q Chief akipitia aweze kuisoma umeipokeaje video hii.