-->

Daily Archives: December 23, 2015

Lulu Nitazaa Bandika Bandua

Post Image

Mtoto mzuri katika tasnia ya sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameapa kuwa muda wa kuanza kuzaa ukifika, atazaa mfululizo bila kupumzika hadi lengo la idadi ya watoto anaowataka litimie. Akizungumza na Bongo Movies ya Amani, Lulu alisema hakuna kitu anachokipenda kama watoto hivyo atakapojipanga na kuwa tayari kuzaa, itakuwa ni bandika bandua kwani anataka […]

Read More..

Picha: Monalisa Akiwa ‘On Set’ Tangazo ...

Post Image

Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya kamera ambazo staa mrembo wa Bongo Movies Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ ame –share nasi kupitia ukurasa wake mtandaoni akiwa kwenye utengenezaji wa tangazo la magodoro ya comfy hiyo juzi.

Read More..

Wapenzi na Mashabiki wa Jerusalem Films na ...

Post Image

Kutoka kwa mkurugenzi wa Jerusalem films, Jacob Stephen ‘JB’ RATIBA kutoka Jerusalem films, movie yetu itakayo fata baada ya Chungu cha Tattu ni Chale Mvuvi, washiriki ni Shamsa Ford na Haji Adam ‘Baba Haji’, Mzee Halikuniki, Makombora , Mzee Chepuo na wengine. Movie hii ili tengenezewa zanzibar mwaka 2013, movie hii itafuatiwa na Kalambati Lobo, […]

Read More..

Shamsa Achekelea Mpenzi Mpya

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford ameonesha furaha yake ya kuumaliza mwaka kwa kumpata mpenzi mpya, ambaye hata hivyo, alikataa kutaja jina lake. Akizungumza na gazeti hili juzikati, Shamsa alisema mwaka huu pia umeweka historia kwa yeye kuweza kutimiza mambo yote aliyojipangia tangu alipoachana na baba wa mtoto wake. “Nafurahi sana namaliza mwaka nikiwa nimetimiza […]

Read More..

Ommy Dimpoz: Niko Tayari Kuoa Hata Sasa,Kam...

Post Image

Staa wa Bongo Fleva,Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amesema kuwa yuko tayari kuoa hata sasa hivi kama nikipata mtu sahihi katika maisha yake. Ommy ameyazungumza hayo wakati akiitambulisha video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Achia Bodi’ kwenye kipindi cha Clouds360  cha Clouds Tv wakati alipoulizwa na mtangazaji kipindi hicho Hudson Kamoga kuwa anatarajia kuoa lini. “Niko […]

Read More..