-->

Daily Archives: December 24, 2015

Vanessa Mdee Afunguka Sababu ya Kung’ara ...

Post Image

Staa wa Bongo Fleva,Vanessa Mdee ‘V Money’ amefunguka sababu za kung’ara kwa mziki wake na kubahatika kupata tuzo kadhaa za Kimataifa kuliko wasanii wengine wa kike wa Kibongo. “Ujue kuna tuzo zingine zinatofautiana kuna zingine wapo wasanii wa Kitanzania ambao tuzo fulani wametajwa, na zingine hawakubahatika kuwepo,ukweli ni kuwa wale wanaoandaa tuzo pia wanaangalia ni […]

Read More..

Zamaradi Kumpa ‘Scene’ Mama Diamond

Post Image

Kufuatia uwezo mkubwa aliouonyesha Mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum, Sanura Kasim kwenye kipande cha video ya wimbo mpya wa diamond , utanimpenda ambapo mama huyo ameigiza kwa kuuvaa uhusika wa mama mwenye maisha magumu ambaye anatafuta msaada akiwa na mtoto mgongoni kitu ambacho kimeshika hisia za watazamaji wengi na wengi kumuona […]

Read More..

Mama Atia Ngumu Lulu Kuondoka Nyumbani

Post Image

Marufuku! Mama mzazi wa staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ametia ngumu mwanaye huyo kuondoka nyumbani kwake na kwenda kuishi peke yake kwa kuwa bado anahitaji zaidi kufuata maadili yake. Mama Lulu aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, hawezi kumruhusu Lulu kwenda kupanga na kuishi peke yake wakati bado ni mdogo na kwamba bado […]

Read More..

Wastara: Huyu Jamaa Nampenda Mfano Hakuna, ...

Post Image

Mama na mwana mama na baba nimeipenda kama ilivyo ila kiukweli huyu jamaa nampenda mfano hakuna, mpole muelewa hana makuu anao ubinadaamu hana ugomvi na mtu, mpole ajui kufoka wala kugombana akikasirika dk 2 tu anarudi kuwa normal. Sichoki kufanya nae kazi namchukulia ni mdogo wangu wa tumbo moja namfananisha vitu vingi na Sajuki si […]

Read More..

Shamsa Ford: Sitaki Tena Kutoka Kimapenzi n...

Post Image

Msanii wa filamu na mama wa mtoto mmoja, Shamsa Ford amesema amekoma kutoka kimapenzi na watu maarufu.   Muigizaji huyo ambaye miezi michache iliyopita alikiri kutoka kimapenzi na rapa Nay wa Mitego, ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi amepata mpenzi mpya ambaye atamweka wazi siku ya harusi yake. “Mimi ni mwanamke mzuri nakosaje mwanaume? Nimetimia kila […]

Read More..