-->

Daily Archives: March 6, 2016

Picha: Kitao cha Maandalizi ya pati ya was...

Post Image

Kikao cha kwanza cha maandalizi ya part yangu ya pongezi kwa mengiiiiii niliyopitia Mpka hapa nilipofikia Na kuna wale waliokosa mengiii yangu awakufanikiwa kuhudhuria basi Nimeamua kuandaa hii part kwa ajili ya wasaniii wenzangu ndugu zangu marafiki zangu na wengineo wengiiii waliyo tayari kuwa pamoja nami ikifika wakati moyo unahitaji furaha na nafasi ya kuipatia […]

Read More..

Wema, Kajala Acheni Utoto Bwana!

Post Image

KWENU warembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja. Habari zenu binafsi? Bila shaka ni wazima wa afya na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Kitambo kidogo sijawaona lakini naamini pumzi ya bure mnaendelea kuivuta ndiyo maana nasikia matukio yenu kwenye vyombo vya habari. Mkitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima. Namshukuru […]

Read More..

Tanzia: Mzee Tofi Afariki Dunia Tanga

Post Image

MCHEKESHAJI Mahiri Salimu Athuman (Tofi) mwenye lafudhi ya Kichaga amefariki jana nyumbani kwake Duga Mwembeni mchana FC iliongea na Katibu wa TDFAA mkoa wa Tanga ndugu Raphael William Kiango na kudhitisha kifo hicho kwa mujibu wa familia yake. “Mzee wetu msanii mwezetu Tofi amefariki mchana akiwa nyumbani kwake na likuwa akisumbuliwa na ugonjwa Kansa ya […]

Read More..

Lulu na Richie wanyakua Tuzo Usiku wa Jana,...

Post Image

Usiku wa jana Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji wa Tanzania kuchukua Tuzo Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria ambapo mwimbaji toka Tanzania Alikiba  alikuwa mmoja kati ya wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo. Wasanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael na Single Mtambalike wamefanikiwa kuondoka na tuzo moja kila mmoja ambapo Elizabeth Michael (Lulu) amechukua […]

Read More..