-->

Daily Archives: March 3, 2016

Baada ya Kudaiwa Kumdiss Diamond Platnumz, ...

Post Image

Ni masaa machachetu tangu kusambaa kwa ujumbe ulioandikwa kupitia Instagram account ya staa wa bongo fleva Belle 9 ikionyesha kumdiss staa mwenzake bongoflevani Diamond Platnumz, ujumbe wenyewe ulisomeka hivi>>> Lakini kupitia account yake hiyohiyo, Belle 9 akaandika ujumbe huu mwingine uliosomeka,>>> ‘#Samaqhani ndugu watanzania kwa usumbufu uliojitokeza ,samahani sana kwa mwanamuziki mwenzangu@Diamondplatnumz #emailmnayoiona hapo juu ndio ya hacker […]

Read More..

Nitagombea Urais wa Tanzania mwaka 2040-Sai...

Post Image

Diwani wa kata ya Kilungule wilayani Temeke jijini Dar es salaam Said Fella (CCM ) amesema atagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ifikapo mwaka 2040. Fella ambaye pia ni meneja wa Yamoto band na TMK wanaume fanmily ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na E News ya EATV. ”Kama Mungu akinipa uhai mwaka huo nitakuwa […]

Read More..

Kama Kweli ni Mkorogo…! Daktari: Ray Kupa...

Post Image

Lile sakata la nyota wa sinema Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ kudai kwamba, siku hizi amekuwa mweupe pee kwa sababu ya kunywa sana maji na kufanya mazoezi, limechukua sura mpya kufuatia daktari mmoja jijini Dar kusema mwongozo huo ni upotoshaji mkubwa, Amani linakupa zaidi. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi juzi, daktari wa kituo cha kutoa huduma za afya kilichopo Kimara jijini Dar, Godfrey Chale alisema binadamu kunywa maji kwa wingi, hata […]

Read More..

Ray C, Hali Tete

Post Image

Hali ya mrembo aliyekuwa akifanya vyema kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva kabla ya kutopea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’, Rehema Chalamila ‘Ray C’, si shwari kwani sasa amerudishwa kwao, Bunju jijini Dar hivyo kuzua wasiwasi wa jinsi atakavyoweza kutumia dawa, tembea na Amani. Chanzo cha uhakika kilichopo ndani ya idara ya […]

Read More..

Alichofanya Nay ni Kama Kichekesho Kwangu-S...

Post Image

Msanii Sheta alimaarufu kama Baba Kayla amefunguka na kusema alichokifanya Nay wa Mitego kwenye wimbo wa ‘Shika Adabu yako’ ni kama kichekesho kwake. Shetta amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio na kusema yeye na Nay ni washikaji tu na wanaongea wote na kudai kuwa alikuwa anatambua hilo toka hata wimbo […]

Read More..

CD na DVD 7,780 Bandia Zakamatwa Dar

Post Image

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata CD na DVD 7,780 za muziki na filamu kutoka kwa wasambazaji mbalimbali jijini Dar es Salaam zikiwa bila stempu za kulipia kodi, jambo ambalo ni kinyume cha sheria. Zoezi hilo liliendeshwa kwa kushirikiana na Kampuni ya Yono Auction Mart na Jeshi la Polisi katika maeneo mbalimbali, ambapo lilibaini ukiukwaji […]

Read More..