-->

Monthly Archives: April 2016

Makala: Hiki Ndicho Kinachozikwamisha Filam...

Post Image

Ni lini mara ya mwisho umekutana na trailer ya filamu ya Kibongo mtandaoni au kwenye TV na ikakuvutia kiasi cha kuingia mtaani kuitafuta? Lakini ni mara ngapi unaona trailer za filamu za Hollywood kwenye Youtube na kupata hamu kubwa ya kwenda kuiona kwenye majumba ya sinema kuiangalia ama kuzama kwenye torrent kuishusha? Naamini ni mara […]

Read More..

Tuwaombee Diamond na Alikiba – Dogo Janja

Post Image

Msanii Dogo janja amewataka watu kuwaombea wasanii Alikiba na Diamond, ili waendelee kuiwakilisha Tanzania vyema kimataifa kama wanavyofanya. Dogo Janja ameyasema hayo alipokuwa akichati na mashabiki wake, alipotoa fursa hiyo kwa wale wanaomfuata kwenye mtandao wa instagram na kujibu moja ya swali la shabiki alipouliza ni msanii yupi kati ya hao anamkubali zaidi. “Wote nawakubali […]

Read More..

Idris Aeleza Jinsi Watu Walivyofuja Pesa Za...

Post Image

Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, Hotshots Idris Sultan, amevunja ukimya na kuzungumzia tetesi ambazo zilikuwa zinazagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba kuna mtu alimpatia pesa zake kwa ajili ya biashara lakini akazitumia vibaya kinyume na makubaliano. Ikumbukwe mshindi huyo wa Big Brother Africa 2014, alipata zaidi ya milioni 500. Pesa ambayo alidai […]

Read More..

Sugu Kuja na Shindano la‘Freedom’, Msin...

Post Image

Baada ya wimbo wa ‘Freedom’ kufanya vizuri kwenye media mbalimbali, Sugu anajipanga kuandaa shindano litakaloshindanisha wimbo utakaouzidi wimbo huo. Siku kadhaa zilizopita baada ya Sugu kuachia video ya wimbo wa ‘Freedom’ ulizua taharuki baada Mr Blue kulalamika kuwa Sugu kamuibia wimbo wake kabla ya uongozi wa studio ya MJ Record ambapo wimbo huo ulitayarishwa kuliweka […]

Read More..

Niva Atoboa Sababu ya Nay wa Mitego Kuachwa...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Niva Super Mariyoo, ambaye alionja joto ya jiwe kwa muda fulani baada ya kutajwa kwenye wimbo wa Nay wa Mitego ‘Shika adabu yako’ na kusema “Huyo msanii huyo hana hata chumba cha kupanga ila anaishi kwenye gari”. Niva amefunguka na kusema kuwa Nay wa Mitego siku zote huwa anaimba watu maarufu […]

Read More..

TID Afungukia Penzi Lake na Wema Sepetu

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki, TID amesema kipindi cha nyuma alikuwa anatoka kimapenzi na malkia wa filamu Wema Sepetu lakini baadae alitemwa hali ambayo ilimuumiza sana. Akizungumza katika kipindi cha Clouds TV Ijumaa hii, TID amesema hali hiyo ilimfanya atoke na wasichana wengi. “Nilikuwa ‘namdate’ Wema Sepetu akaniambia sikutaaki, tangu kipindi hicho nimekuwa na wasichana wengi. […]

Read More..

Nilitarajia Kumuona Raymond Akifanya Vizuri...

Post Image

Msanii Madee kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu kazi za msanii Raymond ambaye alikuwa Tip Top na sasa yuko WCB. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Madee amesema kuwa alitegemea kumuona Raymond akifanya vizuri, kutokana na jitihada alizokuwa nazo tangu akiwa Tip Top. “Raymond yuko vizuri anafanya vizuri ni mtu […]

Read More..

Jana Ilikuwa Siku ya Kuzaliwa ya Chid Benz,...

Post Image

Siku ya jana ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa msanii chid benz ambaye yupo sober ‘bagamoyo sober house’,takribani miezi miwili na alipelekwa huko baada ya afya yake kuonekana kudhoofika kwa kiasi kikubwa na kuwatisha watu wengi hadi kumfanya babutale amshauri aingie sober house. Lakini kwa sasa amekuwa na mabadiliko makubwa katika muonekano wake ukilinganisha na jinsi […]

Read More..

Wolper Afungukia Kutokuvaa Nguo za Kiume Kw...

Post Image

Mwigizaji kutoka kiwanda cha filamu bongo, Jacqueline Wolper amesema mchumba wake ndiye sababu iliyomfanya apunguze kuvaa nguo za kiume. Akiongea kwenye kipindi cha Nirvana, kinachoruka kupitia EATV, Wolper alisema ‘nilikuwa navaa vile kutokana na wakati ule, sasa hivi nimeshakuwa na mchumba’. “Nilikuwa navaa vile kutokana na wakati ule ulivyokuwa. Kuna watu walikuwa wanapenda, lakini sasa […]

Read More..

Giggy Money: Nafanya kwa Ajili ya Kutengene...

Post Image

Video queen aliyetokelezea kwenye video kibao za bongo Gigy Money ameamua kufunguka juu ya masinema yake. Giggy ambaye haishi vituko na kuibua mapya kila siku mitandaoni aliiambia eNewz kuwa yeye wala hajali maneno ya watu na anapenda sana yale mapicha picha yake ya utupu. “Mimi sipo kwa ajili ya kiki mimi napenda kile ninachokifanya na […]

Read More..

Naonyesha Mali Zangu Kuwapa Nguvu Vijana-Na...

Post Image

Msanii Nay wa Mitego amesema mara nyingi yeye hupenda kuonesha vitu anavyo miliki zikiwepo gari, nyumba hata pesa kwa lengo kuu moja, anadai anafanya hivyo ili kuwatia moyo vijana ambao wamekata tamaa. Amesema anafanya hivyo kwa kuwa yeye mwenyewe alitoka katika maisha magumu ambayo alikuwa hadhani kama angeweza kufikia mafanikio hayo lakini alipambana na kupigania […]

Read More..

Nilipenda Sana Ugomvi Utotoni-Riyama

Post Image

Staa wa filamu nchini, Riyama Ally amesema wakati akiwa mdogo alikuwa anapenda sana ugomvi. Akizungumza na gazeti la Mwanaspoti Alhamisi hii, Riyama alisema wakati huo watu mtaani kwao walikuwa wanamuogopa. “Utotoni nilipenda sana ugomvi, yaani mtu asinichokoze ninaye huyo yaani nilikuwa napenda kupigana na kuingilia ugomvi hata kama haunihusu kiasi mtaani walikuwa wananiogopa, kitu ambacho nikikumbuka […]

Read More..

Nimesahau Habari za Shilole- Nuh Mziwanda

Post Image

Msanii Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Jike Shupa’ amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye alishasahau habari za Shilole hivyo hata wimbo wake huo mpya hajamuimbia Shilole Kama ambavyo baadhi ya watu walikuwa wakihisi kutokana na ujumbe uliopo kwenye wimbo huo. Nuh Mziwanda akizungumza na eNEWS alisema yeye hawezi […]

Read More..

Pete ya Uchumba Siyo Kigezo Kuwa Utaolewa- ...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Jackline Wolper amesema kwamba siyo vizuri kuzungumzia masuala ya mchumba kwenye vyombo vya habari au kujitangaza sana kwani mtu unaweza kuishia kwenye kuvishwa pete ya uchumba tuu.   Wolper amefunguka hayo katika kipindi cha Nirvana kinachorushwa na EATV ambapo mtangazaji Deogratius Kithama alitaka kujua kwa undani kuhusu mwanadada huyo mrembo ni […]

Read More..

Faiza Ally Kuanzisha Biashara ya Vichupi Vy...

Post Image

Msanii wa filamu ambaye haishi vituko, Faiza Ally ameamua kuja kivingine kwa kuanzisha biashara mpya ya chupi za kuogolea. Kupitia ukurasa wa instagram, Faiza ameandika: Haya wapenzi wangu mimi#wapenzi wa beach# nawaletea chupi nzuri za kuogelea #swimming dress za wakubwa #watoto #wanaume na wanawake kaeni tayari kupendeza # beach mwenzie vichupi ama vepe ?? #Look […]

Read More..

Nay Wamitego na Niva Wavuana Nguo Hadharani

Post Image

Baada ya lile drama kati ya nyota wa Bongo movie, Niva Supermariyo, na Nay wa Mitego kushika moto kutokana na wimbo wa ‘Shika adabu yako’ ya Nay na Niva kuamua kumjibu kupitia filamu ambayo aliipa jina la ‘Maisha ya mtoto wa Manzese’. Sasa mastaa hao wameamua ‘kuvuana nguo’ hadharani kwa kila mmoja kuamua kumponda mwenzake. […]

Read More..

Hawa wa Nitarejea ya Diamond Ataka Menejime...

Post Image

Msanii Hawa ambaye alifanya poa kwenye moja ya collabo iliyotikisa Afrika Mashariki, Nitarejea ya Diamond, amefungukia suala la kupata uongozi na kumsimamia kazi zake za muziki. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na east Africa Radio, Hawa amesema anaogopa kutangaza kuwa anahitaji mtu wa kumsimamia (manager) kutokana na aliyoyapitia siku za nyuma, na kuhofia […]

Read More..

Kitazame Kipindi cha SCARS Ndani ya StarSwa...

Post Image

Maisha ya binadamu ni safari ndefu  tunayoweza kufananisha na barabara yenye milima na mabonde na vikwazo vingi sana. Vikiwazo na matatizo hayo hupelekea kutoa uhai kama si kuhatarisha maisha . Haya yote utayakuta ndani ya StarSwahili.Ni  matukio ya kweli  na Halisi yatakayo gusa hisia zako na kukufunza.Kujua zaidi. Angalia Trailer hapa https://www.facebook.com/TZStarTimes/ https://www.instagram.com/startimestz/

Read More..