Mr. Nice Alitumwa na Mungu – Wabogojo
Msanii Mtanzania ambaye anafanya shughuli zake nchini Macau Othman Ford (Wabogojo) amesema anamuheshimu sana Mr. Nice kwani alitumwa na Mungu kuja kumtoa yeye kisanaa. Wabogojo amesema Mr. Nice ndiye alimtoa kwenye na kumfanya kuanza kujulikana kwa watu, hivyo kwake ni sawa na bosi wake na kila akirudi hapa nchini lazima aende nyumbani kwake kujua anaendeleaje […]
Read More..





