-->

Daily Archives: March 28, 2016

Ferooz Awashukia Msahabiki Wanaodai Anatumi...

Post Image

Ferooz amewajia juu mashabiki wake katika mitandao ya kijamii baada ya kuambiwa anatumia madawa ya kulevya.   Ferooz amedai baada ya Chidi Benz kuonekana afya yake imedhoofika kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya basi mashabiki wanamchukulia kila msanii aliyepungua mwili wake anatumia unga. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Ferooz ameandika: Tatizo la wabongo mnapenda […]

Read More..

Ray c Anaswa Kazimika

Post Image

Ray C akiwa hoi na kinachodaiwa kuwa ni utumiaji wa madawa ya kulevya. Stori: Musa Mateja, Wikienda DAR ES SALAAM: LICHA ya kutumia nguvu nyingi kukanusha habari zinazochapishwa na Magazeti Pendwa ya Global Publishers kuwa, amerejea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’, hatimaye staa wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amenaswa ‘laivu’ akiwa […]

Read More..

Wastara Atoroshwa Hospitalini

Post Image

Staa wa Bongo Muvi, Wastara Juma akiwa hoi hospitali. Morogoro: Taarifa mbaya! Staa wa Bongo Muvi, Wastara Juma ambaye mapema wiki iliyopita alidai kupewa talaka la mumewe, Sadifa Khamis Juma, Mbunge wa Donge, Zanzibar, anadaiwa kutoroshwa hospitalini kisha kupelekwa hoteli ya mafichoni huku akiendelea na matibabu. Kwa mujibu wa chanzo makini, Wastara aliyekuwa amelazwa kwenye […]

Read More..

Riyama Alipiwa Mahari

Post Image

Hatimaye! Taarifa ikufikie kwamba, staa wa kitambo wa Bongo Muvi, Riyama Ally amelipiwa mahari na mpenzi wake ‘sharobaro’ ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Haji  Mwalimu ‘Leo Mysterio’ huku mipango kabambe ya ndoa ikiendelea. Riyama ameliambia Wikienda kuwa, anamshukuru Mungu kumpata mtu anayeona ndiye anamfaa katika maisha yake na tayari sasa ni mchumba rasmi wa […]

Read More..

Bifu la Diamond na Alikiba Linavyowanufaish...

Post Image

Ni ukweli kuwa Diamond na Alikiba ni wasanii ambao hawapatani kwa muda mrefu.   Kutokana na ugomvi wao uliopo umepelekea mpaka mashabiki wao kuanzisha team, team hizi zinakuwa zinamsupport msanii wao na kumpinga mpinzani wao. Diamond aliwahi kuhojiwa kwenye kipindi cha Sporah Show alisema, “Kuna wimbo wa Alikiba ‘Singel Boy’ nilimuomba Alikiba kuingiza sauti tulipokuwa […]

Read More..