-->

Daily Archives: April 11, 2016

Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkuu Wa Mko...

Post Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dr.John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa shinyanga Ana kilango Malecela kuanzia leo. Utenguzi huo umetokana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Ana kilango Malecela kutangaza kwenye vyombo vya habari kuwa mkoa wake hauna watumishi hewa jambo ambalo lilisababisha Ikulu kufanya uchunguzi wake na kubaini […]

Read More..

Joh Makini Atoa siri ya Weusi

Post Image

Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Joh makini amesema wao kama kundi wana mtindo wao wa kipekee kwenye kurap pamoja na uandishi wa mashairi. “Ni mbinu pekee tu tuna aina yetu ya kipekee ya kudeliver jinsi vile vitu ambavyo tumekuwa tukiandika, na aina yetu ya kuflow na jinsi ya uandishi, […]

Read More..

Patrick Amkumbuka Uncle Kanumba

Post Image

Ni msanii ambaye aliibuka kupitia filamu ya This is it akiwa sambamba na mwigizaji mwenzake Jenifer huyu si mwingine ni Othuman Njaidi ‘Patrick’ vipaji vilivyoiburiwa na maremu Kanumba Patrick anasema kuwa anamkumbuka sana Kanumba kwani alikuwa mlezi kwake. “Ni tofauti sana na Uncle Kanumba alivyotulea, yeye alitulea kama watoto wake kazini lakini watayarishaji wengine hawatupi […]

Read More..

Undani Kifo cha Ndanda Kosovo

Post Image

Dar es Salaam: Msiba! Tasnia ya Muziki wa Dansi Bongo imegubikwa na simanzi nzito kufuatia kifo cha aliyewahi kutikisa vilivyo kwa rap na vibao vikali, mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Ndanda Kosovo ‘Kichaa’ aliyefikwa na umauti wikiendi iliyopita, Wikienda limechimba undani wa habari hiyo. Habari zilizolifikia Wikienda mara tu baada ya […]

Read More..

Rammy Galis Kuipeleka Bongo Movie Kimataifa...

Post Image

Ni ukweli ambao waigizaji wengi wa filamu Tanzania wanaukataa, kwamba tangu Steven Kanumba afariki, kiwanda chao kimekuwa msege mnege! Hakuna ushindani tena, hakuna excitement tena mtaani kama ilivyokuwa zamani kwenye tasnia hiyo. Mauzo ya filamu yameshuka, waigizaji wengi wamekata tamaa kitu kilichowafanya kufikiria Plan B ili kuendesha maisha yao. Wasambazaji wa filamu nao wanadaiwa kupunguza […]

Read More..

Mama Kanumba Aeleza Haya Kuhusu Lulu

Post Image

Mama Steven Kanumba amesema Elizabeth Micheal ‘Lulu’ hana msaada kwake na hata sura yake ameisahau. Akizungumza kwa uchungu katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Jumatatu hii, Mama Kanumba amesema kitu ambacho alikuwa anakihitaji kutoka kwa Lulu ni salamu pekee. “Lulu hanisadii kitu chochote na hata sura yake nimeisahau,” alisema Mama Kanumba. “Mimi sihitaji […]

Read More..

Baada ya Miaka Sita Lady Jaydee Akutana na ...

Post Image

Msanii wa bongo fleva ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Ndi Ndi Ndi’ Lady Jaydee amekutana na msanii Ray C baada ya miaka sita. Baada ya kuonana Lady Jaydee alisema kila mtu anapitia magumu katika maisha kwa njia tofauti. “Kila mtu anapitia magumu katika maisha kwa njia tofauti hakuna jaribu lisilo na mlango […]

Read More..