-->

Monthly Archives: April 2016

Waziri Nape Anunua Albamu Kwa Sh Mil 3

Post Image

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, amenunua nakala moja ya albamu ya Injili ya msanii na prodyuza, Goodluck Gozbert, kwa Sh milioni 3 kutokana na kuguswa na ujumbe uliopo katika albamu hiyo. Waziri huyo alinunua albamu hiyo wakati wa uzinduzi wa albamu hiyo ya kwanza ya msanii huyo iliyopewa jina la ‘Ipo […]

Read More..

Nuh Ammwaga Mrithi wa Shilole

Post Image

MKALI wa Bongo Fleva, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amefunguka kuwa, amemmwaga mpenzi wake aitwaye Erah Erah licha ya kwamba penzi lao lilitawaliwa na mbwembwe nyingi. Akipiga stori na paparazi wetu kuhusiana na maendeleo ya penzi lao, Nuh alifunguka kuwa demu huyo haikuwa riziki kwake kwani hakudumu naye baada ya kugundua hamfai na penzi lao limedumu […]

Read More..

Filamu ya Xballer Kuchuja Wasichana wa Kuig...

Post Image

WASICHANA wenye uwezo wa kuigiza wametakiwa kuchangamkia fursa kwa kujitokeza kwa wingi katika usaili wa filamu mpya ya ‘XBaller’, utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam. Mratibu wa usaili huo ambaye ni Mtanzania anayeishi nchini Marekani, Ernest Napoleon, alisema usaili huo utaanza saa 5:00 asubuhi. Ernest, ambaye pia ni mshindi […]

Read More..