-->

Daily Archives: July 24, 2017

NDANI YA BOKSI: Ukimfuatilia Diamond…...

Post Image

Kuna njia mbili pekee za kuishi maisha yako. Moja ni kama hakuna kitu cha miujiza. Nyingine ni kama kila kitu ni miujiza. Watanzania na wanamuziki wote wa Bongo wamesimama wakimtazama Diamond katika kiwango chake cha juu kabisa cha muziki. Yuko juu sana. Ukifanya kukaa na kubishana kila siku, unatoa maombi kwa shetani. Waliobishana mwanzoni wote […]

Read More..

Mimi ni Chawa kwa Matajiri – Shetta

Post Image

Msanii Shetta ametaka watu wasimuhisi kuwa anajishughulisha na biashara za madawa na badala yake watambue yeye ni mtu anayetumia fursa kila aonapo na ndio maana ana marafiki wengi matajiri ambao wanamsaidia. Akizungumza kwenye Planet Bongo East Africa radio, Shetta amesema kwamba yeye hajishughulishi na biashara hizo za madawa na wala hana pesa za kutisha kama jinsi […]

Read More..

Mboto: Mzee Majuto Hajafa Jamani!

Post Image

MSANII wa filamu nchini, Haji Salum maarufu kama Mboto, amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zinazodai kuwa nguli wa vichekesho katika tasnia ya uigizaji, Amri Athuman maarufu kama King Majuto amefariki dunia. Mboto baada ya kupata taarifa hizi alifunga safari kuelekea mkoani Tanga ambapo ni nyumbani kwa Mzee Majuto na kumkuta hai, na amekanusha uvumi huo kupitia […]

Read More..

Lissu Asomewa Mashtaka ya Uchochezi

Post Image

Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam na kusomewa mashtaka ya kutoa lugha ya uchochezi. Akisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri leo Jumatatu, Julai 24, mahakama imeelezwa kuwa Lissu ametoa lugha ya uchochezi dhidi ya Serikali Julai 17 akiwa maeneo ya Ufipa, Kinondoni. Imedaiwa kuwa […]

Read More..

Hamisa Mobeto Afunguka Penzi Na Diamond, Uj...

Post Image

TANGU ilipoachiwa video ya kibao cha Salome ya mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akishirikiana na Rayvanny, kulianza maneno kuwa Diamond anatoka kimapenzi na mwanamitindo mwenye mvuto Hamisa Mobeto. Hamisa alikuwa mmoja wa video vixens waliopamba video hiyo kali iliyomrudisha mwanamama Saida Karoli kwenye game baada ya kujipa likizo kwa muda mrefu. Lakini […]

Read More..

VIDEO: Ben Pol Bado Hajanitoa Usichana- Ebi...

Post Image

Msanii wa vichekesho Ebitoke amefunguka na kusema Ben Pol mpaka dakika hii bado hajafanikiwa kufungua mlango wa binti huyo hivyo anadai mpaka sasa bado hajawahi kulala na mwanaume yoyote yule katika maisha yake. Ebitoke amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) kinachorushwa na ting’a namba moja kwa vijana EATV na kudai Ben […]

Read More..