-->

Daily Archives: November 1, 2017

Mama Yake Dogo Janja Afungukia Ndoa ya Dogo...

Post Image

Mama mzazi wa msanii Dogo Janja Bi. Zaituni Omari, amesema habari za mtoto wake kuoa ni za kweli na yeye kama mzazi alimpa baraka zote, vinginevyo asingeweza kuoa. Mama yake Dogo Janja ameyasema hayo alipokuwa akiongea na mwandishi wa habari na kusema kwamba yeye kama mzazi ameridhika kwani pia ametimiza matakwa ya dini. “Alishawahi kuniambia […]

Read More..

Hamisa Mobetto Kuibuka Ndani ya Zero Player

Post Image

MWANAMITINDO Hamisa Mobetto, anaratajia kuonekana kwenye filamu mpya ya ‘Zero Player’ itakayozinduliwa Novemba 17 mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na MTANZANIA, kiongozi wa filamu hiyo, Allan Upamba, alisema Zero Player ambayo imefanyika nchini Afrika Kusini na kuchezwa na wasanii maarufu wa ndani na nje ya Tanzania, itazinduliwa rasmi kwenye Ukumbi wa Suncrest Cineplex […]

Read More..

Jokate: Nitaachana na Bongo Fleva

Post Image

MWANAMITINDO na msanii wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa, ‘soon’ ataachana na muziki huo, bila kutaja sababu ya kufanya hivyo. Jokate aliiambia Full Shangwe kuwa, anajipanga kuachia wimbo mmoja wa mwisho kisha anaachana kabisa na Bongo Fleva. “Nafikiria kutoa wimbo moja wa mwisho, halafu baada ya hapo nitakuwa nimestaafu kufanya muziki, sina sababu ya msingi ila ni […]

Read More..

Steps Aanze Kuuza DVD za Kutafsiri Nini Tun...

Post Image

KAMPUNI kubwa ambayo ilikuwa ndio mahiri katika usambazaji wa filamu Swahilihood ni kampuni ya Steps Entertainment ilitikisa lakini kwa sasa ni kama vile hawapo tena hata lile duka nzuri lilokuwepo mitaa ya Masasi na Mzimbazi likiuza filamu zetu halipo tena bali ni sehemu ya kubeti swali linakuja je waanze kuuza Dvd zilizotafsiriwa kwa Kiswahili? Ninapokuwa […]

Read More..