-->

Daily Archives: November 2, 2017

MC Pilipili Asimulia ajali Ilivyomuacha Kit...

Post Image

Dar es Salaam. Mshereheshaji maarufu nchini Emmanuel Mathias maarufu Mc Pilipili ameyataja mambo makubwa matatu aliyojifunza baada ya kupata ajali ya gari Septemba 12 mwaka huu katika Kijiji cha Nyasamba mkoani Shinyanga. Akizungumza na MCL Digital leo, mchekeshaji huyo amesema chanzo cha ajali hiyo ni dereva kuwakwepwa waendesha baiskeli waliokuwa pande mbili tofauti za barabara. […]

Read More..

Shamsa Atoa Povu Kisa Kuuza Duka!

Post Image

MREMBO wa Bongo Movies, Shamsa Ford ametoa povu la aina yake kwa mashabiki wanaomponda kwa kitendo cha yeye kuuza duka mwenyewe badala ya kumuweka binti amuuzie. Akizungumza na Amani, Shamsa ambaye anamiliki duka la nguo na mumewe Chid Mapenzi lililopo Kinondoni jijini Dar, alisema haoni aibu yoyote kuuza mwenyewe dukani hapo kwa sababu ustaa bila […]

Read More..

Dogo Janja na Irene Uwoya Wasisikilize Mane...

Post Image

Msanii Madee Seneda ambaye ni baba mlezi wa Dogo Janja, amewataka maharusi wake Irene Uwoya na Dogo Janja kutosikiliza watu kwani wakifanya hivyo hata mwaka hawatamaliza. Madee ameyasema hayo alipokuwa akipiga stori na Queen Fifi na JR kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwamba amefurahi kuona Dogo Janja kaoa ingawa alishtushwa na taarifa […]

Read More..

Maombi Yatikisa Nyumbani kwa Lulu

Post Image

Zikiwa zimesalia siku 12 tu kabla ya hukumu yake kusomwa kufuatia kesi yake ya kuua bila kukusudia inayomkabili, taarifa zinasema maombi na sala zimekua zikitikisa nyumbani kwa msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’. Mtu wa karibu wa msanii huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake, alilidokeza Risasi Mchanganyiko kuwa, baada ya kesi hiyo kufikia katika hatua ya hukumu, […]

Read More..