-->

Daily Archives: November 5, 2017

Nawal Afuta Tattoo ya Nuh Mziwanda!

Post Image

Ni utamaduni wa mastaa wa Bongo, mara tu wanapoanzisha uhusiano na kukolea kwenye penzi jipya, kujichora tattoo ya jina la mpenzi huyo lakini dhoruba inapolipitia penzi lao, hutafuta kila njia za kufuta tattoo hiyo. Hili limejidhihirisha kwa aliyekuwa mke wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, anayefahamika kwa jina la Nawal, ambaye kwa sasa amefuta […]

Read More..

Shamsa Ford Atupa Dongo Bongo Movie

Post Image

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amewaponda baadhi ya wasanii wa Bongo movie na kusema ukosefu wa elimu kati yao chanzo kikubwa tasnia hiyo kushindwa kuendelea na kupiga hatua kubwa na kudai wamekalia umbea, chuki, ushirikina na roho mbaya. Shamsa Ford amesema hayo kupitia mtandao wake wa Instagram na kudai kuwa anatamani muda ungekuwa unarudi […]

Read More..

Irene Uwoya Afungukia Ndoa Yake

Post Image

IKIWA hali ya sintofahamu imeendelea kutanda kuhusu ndoa ya msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja ‘Janjaroo’ na mwigizaji, Irene Uwoya, picha za shughuli yao zimezidi kusambaa. Uwoya, ambaye alishiriki Miss Tanzania 2006, amekuwa akituma picha hizo za harusi katika mitandao ya kijamii na mumewe, Janjaroo kujibu. Hali hiyo imekuwa gumzo mitaani huku wengi wakishindwa kupata […]

Read More..