-->

Daily Archives: November 16, 2017

Masogange Ashindwa Kujitetea, Hakimu Ampa O...

Post Image

Kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya inayomkabili Video Queen, Agness Gerald ‘Masogange’ kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar ambapo jana Alhamisi ilibidi aanze kujitetea baada ya kukutwa na kesi ya kujibu lakini alishindwa kufanya hivyo kwa kile ilichodaiwa na mawakili wake kuwa walishindwa kumuandaa kutokana na kupatwa na msiba. Masogange akiwa mbele […]

Read More..

Kesi ya Wema Sepetu Yapigwa Kalenda Tena

Post Image

Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefika Mahakama ya Kisutu leo kwaajili ya kesi yake inayomkabili ya kutumia dawa za kulevya.   Ambapo Wakili wa serikali amesema kuwa kesi hiyo imeitishwa kutokana na kuendelea kwa ushahidi, Jaji amesema kutokana na muda kuwa mchache kesi hiyo inahairishwa mpaka Novemba 24 mwaka huu. Bongo5

Read More..

Niliachana na Uwoya kwa ajili ya Ndikumana-...

Post Image

Mwanamuziki wa bongo fleva nchini Msami Baby amefunguka na kusema wazi kwamba aliwahi kujuta kuwa na mahusiano na Irene Uwoya baada ya kujua kwamba anamuumiza aliyekuwa Mume wa muigizaji huyo, Marehemu Hamadi Ndikumana aliyefariki usiku wa kuaMkia jana huko Rwanda. Msami amefunguka na kusema kwamba hakuwahi kumchukia Mwanaume huyo (Ndikumana)  na kwamba kutokana na heshima aliyokuwa anampatia […]

Read More..