Alikiba Atoa Ratiba ya Tour ya Marekani
Muda mfupi baada ya kutangaza tour yake ya Afrika Kusini, itakayoanza mwezi ujao, mkali wa bongo fleva Alikiba, ametangaza ratiba ya tour nyingine ya Marekani.
Mkali huyo atatumbuiza katika miji ya Las Vegas, Austin, Houston, Minneapolis na Minnesota. Ziara hizo zitaanza March 4 hadi April.