Picha: Maselle “Chapombe” Afunga Ndoa
Msanii wa siki nyingi wa vichekesho aliyejipatia umaarufu katika kundi la vituko show kwa style yake ya kuigiza kama mlevi, Chrispine Lyogello “Masele” ameaga ukapela baada ya kufunga pingu za maisha na mchumba wake wa siku nyingi Specioza Malick katika kanisa Katoliki, Bikira Maria Consolata lililopo Mbezi Makabe jijini Dar es salaam.
Hizi ni baadhi ya picha za tukio zima.