-->

Aunty Ezekiel :”Ila huku tunakoenda dah!

Muigizaji kutoka Bongo Movie Aunty Ezekiel amechukua headlines  katika mitandao ya kijamii baada ya kupost caption ambayo imeacha maswali kwa baadhi ya mashabiki kupitia ukurasa wake wa instagram na wengi kutafsiri hueda akawa kwenye migogoro na baba mtoto wake Mose Iyobo.

Sina kawaida ya kuweka Maisha yangu kwenye Mitandao ila huku tunakoelekea ? Dah!wanaume!!!!?“

Aunt Ezekiel ni miongoni mwa waigizaji kutoka Bongo Movie ambao hawapendelei kuweka maisha ya mahusiano yao ya kimapenzi katika mitandao ya kijamii.

“January nime-surrender ” Aunt Ezekiel kafunguka Ugumu wa January

Aunt ezekiel pia alieongelea kuhusu ugumu wa Januari. lakini amesema kuwa  ni bidii ya mtu  kujitahidi  kujianda mapema maana kuna mambo mengi mwanzoni mwa mwaka kama vile ada za shule, kulipa kodi ya nyumba nk. Alisema kuwa mwanzoni aliona kawaida maana alikuwa bado hajaingia kwenye majukumu lakini baada ya kupata familia alibidi pia kutekeleza majukumu yake kama mzazi  na mke kwa Mose Iyobo.

Image result for aunty ezekiel

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364