-->

AY kafunga ndoa ya siri Rwanda?

February 11, 2018 nikusogezee stori ya Staa Mkongwe wa Bongofleva Ambwene Yesaya ambaye wengi tunamfahamu kama AY  hii stori inatokea nchini Rwanda February 10, 2018 zime-trend picha na habari katika mitandao ya kijamii kuwa staa huyo kafunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Remy.

Related image

AY ameripotiwa kufunga ndoa nchini Rwanda ambapo ndio nyumbani kwa mchumba wake Remy, inaripotiwa kuwa harusi ya AY ambaye bado hajapost chochote katika ukurasa wake wa instagram na kuwatangazia mashabiki kuwa amefunga ndoa, imehudhuriwa na mastaa wachache kutoka Bongo akiwemo Meneja wake Sallam Sk.

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364