-->

BASATA wafunguka, Baada ya Alikiba Kusaini Mkataba ‘Sony Music’

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limempongeza msanii Alikiba baada ya jana kusaini mkataba chini ya kampuni ya ‘Sony Music’ duniani na kusema kuwa hilo ni jambo la msingi na litasaidia saa yetu na kusisitiza kuwa sanaa ya staha inalipa zaidi.

KIBA332

BASATA wamedai kuwa siku zote ukifanya sanaa ambayo ina staha inalipa zaidi na kudai kuwa nidhamu na maadili pia yanachangia katika mafanikio

“Tunampongeza Msanii Ali Kiba kwa kusaini mkataba na Kampuni ya Kimataifa ya Sony Music. Nidhamu, maadili & Sanaa ya staha hulipa” waliandika BASATA

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364