Bongo Movie Premiere: Shamsa Ford na Odama wa Fungua Dimba
Ilikuwa ni siku ya jumatanowiki hii ndani ya Escape One, pale Steps Entertaiment ilipokusanya wasanii wa Tanzania na Burundi katika uzinduzi wa filamu ya Najuta Shamsa na Mkwe ambayo imetengeneza na Odama. Wasanii waliokuwepo ni Dude, Jb, Rashid Mrutu, Faridi Uwezo, Omary Clayton, Rose Ndauka, Wastara, Shamsa Ford, Odama, Mussa Banzi na wengine kibaoooooo.