-->

Bongo Movies Premier: Filamu Kibao Kuonyeshwa Kwenye Screen Kubwa

Kwa mara ya kwanza  Steps Entertainment inakuletea Bongo Movies Premier,  filamu za  kibongo zitazinduliwa kiwa kuonyeshwa kwenye big screen kabla ya kuingia sokoni.

Bongo Movies Premier

Wasanii mbalimbali wakiwemo viongozi wanatarajia kuudhulia katika uzinduzi wa filamu mpya ya MKWE ambayo imechezwa na waigiza Odama, Taiya Odera, Muntrah na Hemedi  pamoja na filamu ya NAJUTA SHAMSI ambayo imeshirikisha wasanii wakubwa kutoka Burundi Sururu Jaffar na mwigizaji kutoka Tanzania Shamsa Ford.

bongo movies43

Ni kesho ndani ya Escape 1
Usikose!! Kutakuwa na Red Capert, Interview, na picha.
Red capert itaanza saa moja kamili hadi saa sita.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364