-->

Brown afunguka sababu kutemana na Wolper

Brown amefunguka na kuweka wazi sababu ambayo imepelekea yeye kuachana na msanii wa filamu nchini Jackline Wolper na kusema yeye ndiye alimkosea binti huyo na kila alipoomba msamaha hakutaka kumuelewa.

Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) Brown anasema kuwa yeye na Wolper walikuwa na ugomvi kati yao ambao ulisababishwa na yeye mwenyewe na kudai kila alipojaribu kumuomba msahama hakutaka kumuelewa akaamua kusonga mbele na kumuacha.

Tazama hapa Brown akifunguka zaidi juu ya hili

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364