-->

Chemical: Sitasahau Mama Yangu Alivyoniacha

MSANII wa hip hop, Chemical amesema kila anapokumbuka kifo cha mama yake anajikuta akilia sana kutokana na kutamani angeyaona mafanikio yake ya sasa kupitia muziki wake.

“Sikulelewa na mama yangu kwa asilimia kubwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimsumbua, lakini nilipotimiza miaka mitatu nikaambiwa niende Dar es Salaam kumsalimia, nilifika na furaha kumbe ndiyo alikuwa amefariki, iliniuma sana ingawa nilikuwa na umri mdogo na kila mara huwa natamani angeyaona mafanikio yangu,” alisema Chemical.

Chemical ni moja wa marapa walioibuka hivi karibuni pamoja na kufanya vizuri katika kazi zake nyingi pia ameleta  changamoto kwa marapa wa kike waliomtangulia.

Mtanzania

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364