Davina Ajikita na Huku Sio kwenye Movie Pekee
MWIGIZAJI wa kike wa Filamu Bongo Halima Yahaya ‘Davina’ anasema kuwa kaamua kuwa mjasiriamali badala ya kutegemea njia moja tu ya kuigiza wakati anakuwa na mahitaji mengi ni bora kuwa mjasiriamali kuweza kumudu maisha ya watu nyota.
“Maisha magumu kwa sasa huwezi kutegemea kitu kimoja tu lazima ujishughulishe katika kuhakikisha unapata kile uanchotaka kama sasa nina biashara zangu zinazonifanya niwe busy kwa kweli,”anasema Davina.
Davina amabaye anasema kuwa anauza nguo na bidhaa nyingine wateja wake wakuu ambao amewalenga ni wasanii wenzake wa kike japo kwa wasanii wa kiume si sana anasema bila kuchakarika mambo yanawezakuwa tofauti na kuona sanaa mbaya endapo tu utategemea kitu kimoja tu kuigiza.
FC