-->

Dogo Janja anaitwa Baba Krish?

miezi kadhaa imepita tokea muigizaji Staa Irene Uwoya afunge ndoa na msanii Dogo Janja na kwa upande wao wameonekana kuridhika na ndoa yao ingawa maneno yalikuwa mengi kutoka kwa mashabiki.

Mapenzi kati yao yanaonekana kushamiri na kudumu hii ni baada ya Dogo Janja kukabidhiwa majukumu kama baba wa familia baada ya kuitwa Baba Krish katika comment kupitia instagram akaunti ya Irene Uwoya na jina hili kuonekana kama ndio hutumika kati yao.

Irene Uwoya ameandika “Sawa baba Krish” akiwa amemuandika Dogo Janja ambaye ni mume wake. Jina la Krish ni la mtoto wa kwanza wa Irene Uwoya ambaye alizaa na marehemu Hamad Ndikumana.

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364