-->

Dotto Kufanyiwa Movie Premiere Leo, Escape One Mikocheni

FILAMU ya Dotto ya mwanadada Irene Paul leo siku ya jumatano ya tarehe 27.April .2016 inatarajiwa kufanyiwa Premiere katika event iliyopewa jina la Bongo Movie Premiere katika ukumbi wa Escape one uliopo Mikocheni B .

doto34

Usiku wa leo unaletwa na kampuni ya Steps Entertainment kwa kushirikiana na Escape one itashirikisha wasanii nyota kibao kutoka Swahilihood wanaotamba katika tasnia ya filamu Bongo.

Filamu ya Dotto imechezwa na wasanii kama Patcho Mwamba, Irene Paul, Sonia na wasanii wengine wakali usiku huo utapambwa kwa Red Carpet kwa wasanii maarufu si ya kuikosa kabisa, ni siku ya kukumbukwa.

dotto93

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364