-->

Hawawezi Kunikatisha Tamaa- Tico

ico akiwa na tuzo kibao nchini Marekani.

Tico akiwa na tuzo kibao nchini Marekani.

MTAYARISHAJI na muongozaji wa filamu kimataifa Timoth Conrad ‘Tico’ anasema hajakatishwa tamaa na atatangaza nchi kwa kufanya kazi zake kiweledi na kujivua Tanzania kwani anaipenda nchi yake na kupitia filamu amekuwa balozi mzuri kupeperusha bendera.

ico akiwa na mwalim wake katika upigaji wa picha Marekani.

ico akiwa na mwalim wake katika upigaji wa picha Marekani.

“Hapa nyumbani kuna watu hawajui mchango wa mtu mwingine na hasa sisi ambao hatuonekani katika runinga lakini kitu kingine ni dhuluma ya ubunifu wa mawazo yako tena na watu unaowaamini,”

“Nikiwa Marekani niliandaa mipango ya tamasha la Tanzanite na kuongea na kiongozi wa shirikisho lakini wameliteka na kudai lao,”

Tico ambaye kwa sasa anasoma nchini Marekani yupo likizo nchini akitengeneza sinema ya kutisha kwa ajili ya kuipeleka Marekani kama sehemu ya kampeni ya kuitangaza tasnia na kushawishi watengeneza filamu kuja Tanzania kushirikiana na watengenezaji wetu.

fc

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364