Filamu ya ‘Afande Chacha’ Kuonyeshwa Sibuka Maisha Ijumaa Hii
Afande Chacha ni moja kati ya filamu bora zaidi kutoka Step Entertainment iliyojumuisha mastaa wakali wa bongo movie wakiweno Riyama Ally, Hemmed PHD na Mzee Majuto.
Kwa mara ya kwanza itaonyeshwa ijumaa tarehe 14 mwezi kupitia Sibuka maisha channel 111 kwenye startimes kuanzia saa 3 usiku ni bongo movie bandika bandua.