-->

Hakuna Shida mtu Kuvaa Kimini Kama Mtu Ana Mguu- Rose Ndauka

Staa wa Filamu Bongo Rose Ndauka  amefukunga kuwa haoni kama kuta tatitzo kwa wadada wa bomgo movies kuvaa vimini kwenye filamu wanaozocheza kama wana miguu mizuri ya kuvalia.

rose ndauka4

Akizungumza na eNewz Rose aliweza kutoa maoni yake kuhusiana na kauli iliyokuwa imetolewa na nguli wa filamu nchini Bibi Hindu dhidi ya wasanii wa kike wa Bongo movie kuhusu uvaaji wao wa nusu uchi mpaka kufikia filamu kushindwa kuangaliwa na watoto wakiwa na wazazi wao,

“Hakuna shida mtu kuvaa kimini kama mtu ana mguu unamruhusu kuvaa hivyo inategemea na uhusika tu wako tu na pia filamu zinaandikwa kabisa kuwa hii inaangaliwa na wote na hii hairuhusiwi kuangaliwa na mtoto wa chini ya miaka kumi nane kwanini sasa watoto waangalie,” alihoji Rose Ndauka.

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364