-->

Miaka kumi na moja ya Jay Mo bila video

Wakati wasanii wengine wa Bongo fleva wakizidi kutoa video kali ili waendelee kuwa juu katika ‘Game’ ya muziki lakini imekuwa tofauti kwa Rapa Jay Mo kwani ana miaka kumi na moja hajaachia video yeyote.

jmo

Jay Mo

Akizungumza na eNEWS Jay Mo alisema mara ya mwisho yeye kutoa video ya ngoma yake ilikua mwaka 2005 ngoma ambayo aliifanya na marehemu Albert Mangwea ‘Mikasi’

Jay Moe anasema licha ya yeye kutotoa video hata moja zaidi ya mwaka mmoja lakini haijamuathiri chochote kama wasanii wengine kwasababu audio zake zinanguvu sana na bado anaendelea kupata show ambazo zinamuingizia mkwanja.

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364