Hemed Adai ‘Kuwachapa’ Mastaa Wengi
Msanii wa filamu Hemed Suleiman amefunguka kwa kusema kuwa hajawahi kutoka kimapenzi na wasanii wa filamu lakini wengi amewachapa.
Mwigizaji huyo ni miongoni mwa wasanii wa filamu mwenye mvuto kutoka na kujiremba kwake pamoja uvaaji.
Akiongea na Times Fm hivi karibuni, Hemed aliulizwa kuhusu kutoka kimapenzi na wasanii wa filamu.
“Ngoja niseme hili sijawahi kuwa kwenye mahusiano na Mastaa, ila kuwachapa ni wengi sana” Alisema.
Katika hatua nyingine, Hemed alisema hapendi kufanya filamu ila pesa ndio inamfanya kuwa mwigizaji.
Bongo5