-->

Diamond Kuachia Hii Akiwa na P Square

Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ametupia picha hiyo hapo chini kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na kundi la P Square pamoja na uongozi wake,  wakiangalia kazi hiyo kama kufanya mapitio na kuandika kuwa anasikia harufu ya hit song.

diamond342

Diamond Platnumz ingawa hajaweka wazi lini kazi hiyo inatoka lakini kuna kila dalili kuwa kazi hiyo inaweza kutoka wiki hii kwani tayari ameshaanza kuwaweka sawa mashabiki wake kukaa tayari na kuwa karibu na mitandao yake kwa ajili ya kazi hiyo.

Kitendo cha Diamond kupost picha hiyo na kuandika maneno hayo kumeibua hisia mbalimbali zenye furaha kwa mashabiki wake ambo wengi wameonyesha kuwa na furaha na wakitabiri kuwa huenda ikawa kazi kubwa kutokana na jinsi wanavyomuamini msanii wao na kusema kuwa hajawahi kuwaangusha.

********************************************************************************************************

NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

KAMA WEWE NI MFANYA BIASHARA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

Filamu Zilizotoka Hivi Sasa >>>>HIZI HAPA

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364