-->

Hemedy PHD Anatarajia Kuwa Baba Tena

Star wa Bongo Movie, Hemedy Seleman anatarajia kupata mtoto hivi karibu na anajivunia kuwa baba wa mtoto huyo ajae ukiachilia yule ambaye alinukuliwa kuachwa na mama wa mtoto huyo.

Hemed PHD3

Akizungumza na Enewz Hemedy alisema kuwa mtoto ni baraka kutoka kwa mungu kwa hiyo yeye yupo tayari kwaajili ya kumlea mtoto huyo ambaye hakutaka kutaja jina la mama wa mtoto huyo ajae.

“karibuni tu natarajia kumpata mtoto tusubiri tu mapenzi ya mungu yatimie”,alisema Hemedy.

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364