-->

Hivi Ndivyo Lulu Alivyosherekea Krismasi Nyumbani Kwao Kilimanjaro

lulu33

“Proudly Chagga❤️❤️❤️”-By Lulu on Insta

Staaa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ilimbidi afunge safari hadi mkoni Kilimanjaro kwenye kula siku kuu ya Krismasi mwaka huu.
Akiwa yeye pamoja na wazazi wake wote wawili Lulu ameshare nasi picha hizi kupitia ukurasa wake mtandaoni.
“Niko Na Baba Mkweeee?ooopssss I mean Baba Angu??hadi vidole sikuhizi havina mfupa”- Lulu aliandika kiutani kwenye picha hiyo hapo chini akiwa na baba yake.

“Niko Na Baba Mkweeee?ooopssss I mean Baba Angu??hadi vidole sikuhizi havina mfupa-L

“Niko Na Baba Mkweeee?ooopssss I mean Baba Angu??hadi vidole sikuhizi havina mfupa”-Lulu

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364