Hizi Ndizo Filamu Zinazotamba Kwenye Tasnia ya Filamu Kwasasa
Hizi ni kati ya filamu zinazoendelea kusumbua katikati tasnia ya filamu, ubora wa Filamu hizi unasababisha zigombaniwe Sokoni. Kama utapenda filamu za kitanzania embu hakikisha hizi ni kati ya filamu zinazotakiwa kuwa kwenye maktaba yako. Pata nakala halisi zinapatikana katika matawi ya kampuni ya Steps entertainment limited.