-->

Ipo Siku Nitaitwa Mama- Wema Sepetu

Kupitia Account yake ya Instagram staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu alipost picha akiwa na mama yake mzazi na kuweka maneno yalisomeka kuwa iko siku na mimi nitaitwa Mama.

Wema Sepetu akiwa na mama yake mzazi.

Wema Sepetu akiwa na mama yake mzazi.

Jambo ambalo liliibua hisia za mashabiki zake na wengine kuanza kumfariji kuwa Mungu yupo na anasikia kilio chake na wengine wakiendelea kumtia moyo kuwa asijali kweli ipo wakati na yeye atakuwa mama na kupata mtoto.

“Muombe Mungu Wema Sepetu hata sisi wanawake wenzako tunaumia sana kuona unatukanwa kisa mtoto, tunakuombea Mungu akujualie mtoto wako usisemezane nao hao watu wanakuongelea vibaya” Lovenes France

eatv.tv

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364