-->

Jaydee Kuweka Wazi Kuhusu Ndoa Yake

KUFUATIA sintofahamu kwa mashabiki wake kuhusiana na tetesi za kufunga ndoa na kwenda mapumziko visiwani Zanzibar, mwanamuziki, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ anatarajia kuweka wazi suala hilo hivi karibuni.

jidee98

Akizungumza na MTANZANIA jana, Meneja wa mwanamuziki huyo, Seven Mosha, hakutaka kuzungumzia suala hilo, huku akisisitiza kwamba Lady Jaydee mwenyewe ataliweka wazi suala hilo hivi karibuni.

“Habari hizo zipo kwenye mitandao, lakini suala hili anatakiwa kuliongelea mhusika mwenyewe, mimi sina la kuzungumza, ni mapenzi yake ila naamini ataliweka wazi mwenyewe suala hilo hivi karibuni,’’ alieleza Seven.

Mtanzania

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364