-->

Johari Afunguka Kuhusu Bwana Wake

Staa wa kitambo ambaye ni tunda la Kaole Sanaa, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa watu wengi ‘wanamdiskasi’ kuwa hamwaniki mpenzi wake lakini ukweli ni kwamba ishu hizo hazifagilii.

JOHARI342

Akizungumza na gazeti hili, Johari alisema kuwa hakuna mwanamke ambaye anakosa mpenzi hususan kwa umri wake lakini hapendelei kumweka hadharani na wala hana tatizo.

“Sipendi kwa sababu kuna kipindi watu walikuwa wanasema natoka na Ray (Vincent Kigosi) lakini hawajahi kuona namweka kwenye mitandao,” alisema Johari ambaye ni Boss Lady wa RJ Company.

Chanzo: GPL

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364